OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA UYUI

Size: px
Start display at page:

Download "OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA UYUI"

Transcription

1 OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA UYUI MKOA WA TABORA SHULE YA SEKONDARI NDONO, SIMU Na / S. L. P. 327, MKUU WA SHULE TABORA. Kumb. Na.. 02/07/2016 KWA MZAZI/ MLEZI WA.... S. L. P.... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO (2016) SHULE YA SEKONDARI NDONO 1. Ninayo furaha kukujulisha kwamba mwanao... amechaguliwa kujiunga na kidato cha TANO (BWENI) katika shule hii kwa mwaka huu wa masomo Hivyo nachukuwa fursa hii kukupongeza sana wewe na mwanao. 2. Shule ipo km 45 toka Tabora mjini kuelekea Urambo. Shule ipo Mkoa wa Tabora, wilaya ya Uyui, Tarafa ya Lolangulu, Kata ya Ndono. Ipo mita 500 toka kituo cha basi msalabani kuelekea kaskazini, usafiri upo wakati wote. 3. Anatakiwa kuripoti shuleni tarehe 10/07/2016 kwa ajili ya usajili tayari kuanza masomo kwa muhula wa kwanza. 4. Mara upatapo barua hii na kuisoma kwa makini, tafadhari unatakiwa kumpatia mwanao mahitaji yote stahili (yaliyoorodheshwa) ili kumwezesha afike shuleni mapema bila kupoteza muda wa masomo. 5. SARE YA SHULE A. Sare ya Wasichana (i) Sketi 2 rangi nyeusi yenye marinda makubwa (ukubwa sentimeta 10) inayovuka magoti. (ii) Shati 2 rangi nyeupe mikono mifupi na isiwe ya blue/ blue bahari. (iii) Sketi 1 rangi ya blue yenye marinda makubwa (cm 10) inayovuka magoti kwa ajili ya kazi za nje na kushindia. (iv) Viatu vya ngozi nyeusi vinavyofunga kamba. Bajaji na visivyo na kamba haviruhusiwi. (v) Sweta rangi nyeusi wakati wa baridi Jacket/Koti haviruhusiwi. (vi) Soksi ndefu jozi 2 rangi nyeupe. (vii) Viatu kwa ajili ya michezo (RABA). (viii) T-shirt rangi ya blue yenye kola. (ix) Shuka jozi moja rangi ya pinki. (x) Truck suit ya blue bahari kwa ajili ya michezo (xi) Wanafunzi wa Kiislam wanaovaa hijabu sketi zao ziwe ndefu. (xii) Tai ya mistari myeusi myeupe (Pundamilia) 1

2 B. Sare ya Wavulana (i) Suruali 2 rangi nyeusi marinda 2 isiyobana mwili. (ii) Shati 2 rangi nyeupe mikono mifupi na isiwe blue/ blue bahari. (iii) Suruali 2 rangi khaki marinda mawili isiyobana mwili kwa ajili ya nje ya darasa. (iv) Truck suit ya blue/bukta blue kwa ajili ya michezo. (v) Viatu jozi 2 rangi nyeusi vinavyofunga kamba visigino vifupi. Visivyo na kamba haviruhusiwi. (vi) Sweta rangi nyeusi wakati na baridi. Jacket/ Koti haviruhusiwi. (vii) Viatu kwa ajili ya shughuli za michezo. (viii) Soksi jozi 2 nyeupe. (ix) T-shirt rangi ya blue yenye kola. (x) Shuka jozi moja rangi ya pinki. (xi) Tai ya mistari myeusi na myeupe (Pundamilia). (xii) Mkanda mweusi wa ngozi usio na urembo wowote. 6. MAAGIZO MENGINE YA JUMLA KWA BWENI NA DARASANI (a) Godoro la Sponji (6 x2 ½) (b) Sanduku la chuma (kuhifadhia vifaa vyake) (c) Mto mmoja na Blanketi. (d) Mswaki na dawa ya kutosha muhula mzima. (e) Sabuni za kufulia na kuogea za kutosha mhula mzima. (f) Vifaa vya kulia chakula (sahani, bakuli, kikombe na kijiko) visiwe vya plastiki. (g) Ndoo ya kuogea (Plastiki lita 20). (h) Fedha za matumizi madogo madogo (Pocket Money) pamoja na matibabu. (i) Jozi moja ya Khanga (kwa wasichana). (j) Aje na Ream moja ya karatasi (size A4) (k) Aje na madaftari makubwa (Q4) ya kutosha masomo yake. (l) Aje na mathematical set, kalamu pamoja na Calculator (Scientific) kwa wale wa masomo ya sayansi. (m) Aje na vitabu vya masomo yake binafsi. (n) Aje na NETI kwa ajili ya kuzuia mbu. (o) Nguo za nyumbani pamoja na simu (aina yeyote) HAZIRUHUSIWI SHULENI. 7. MAAGIZO YA FEDHA A. ADA Ada ni shilingi 70,000/= kwa mwaka, unaweza kulipa shilingi 35,000/= kwa kila muhula. Ilipwe benki Akaunti Namba NMB. B. MICHANGO MUHIMU Fedha ya tahadhari Tshs 10,000/= Uboreshaji taaluma Tshs 10,000/= Ukarabati Tshs 15,000/= Ulinzi Tshs 5,000/= kila mwaka Kitambulisho Tshs 5,000/= ilipwe taslimu shuleni Nembo Tshs 2,000/= Aje na ada ya mtihani wa Mock Form Five/ Annual Examination Tshs 15,000/= Fedha za michango muhimu kipengele B zote zilipwe benki. Akaunti namba NMB. 2

3 C. VIFAA VYA USAFI Jembe lenye mpini. Kwanja (fyekeo) Fagio la chelewa la kufagilia nje lenye mti mrefu. Fagio la kufagilia ndani (Soft broom) 8. SHERIA NA KANUNI MUHIMU ZA SHULE Kwa vile shule ni ya Serikali, inafuata na kuzingatia sheria na kanuni zote za nchi kuhusu Elimu, kama zinavyosomeka kwenye Sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka Aidha inazingatia pia miongozi yote inayotolewa na Wizara yenye dhamana ya Elimu nchini. Utakapofika shuleni utapewa nyaraka zinazoeleza na kufafanua Sheria, taratibu na kanuni za shule ambazo utatakiwa kuzifuata wakati wote utakapokuwa hapa shuleni. Pia utatakiwa kujaza fomu muhimu zitakazo kuwa zimeambatanishwa na sheria hizo (moja wapo zikiwa ni zile za Uraia na ya vipimo (Medical Examination) na kuzirudisha shuleni. 9. SHERIA NA KANUNI MUHIMU ZA SHULE HII Shule inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka 1978 kama ilivyorekebishwa kwa Sheria Na. 10 ya mwaka Aidha inazingatia miongozo yote inayotolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, yenye dhamana ya elimu nchini na Ofisi ya Rais - TAMISEMI yenye jukumu la usimamizi na uendeshaji elimu, unatakiwa kuzingatia mambo ya msingi yafuatayo ambayo yatafafanuliwa kwa maandishi na utapewa nakala yake mara baada ya kuripoti shuleni. (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) (h) Heshima kwa viongozi, wazazi, wafanyakazi wote, wanafunzi na jamii kwa ujumla ni jambo la lazima. Mahudhurio mazuri katika kila shughuli ndani na nje ya shule kulingana na ratiba ya shule ni lazima. Kushiriki kwa makini kufanya maandalio ya jioni (preparation). Kuwahi katika kila shughuli za shule na nyingine utakazopewa. Kufahamu mipaka ya shule na kuzingatia kikamilifu maelezo juu ya kuwepo ndani na nje ya mipaka hiyo wakati wote wa uanafunzi wako katika shule hii. Kutunza usafi wa mwili, mavazi na mazingira ya shule. Kuvaa sare ya shule wakati wote unapotakiwa. Kuzingatia ratiba ya shule wakati wote na kutunza mali za umma. 3

4 10. MAKOSA YAFUATAYO YANAWEZA KUSABABISHA KUFUKUZA AU KUSIMAMISHWA SHULE (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) (h) (i) (j) (k) (l) (m) (n) Wizi Uasherati na Ushoga Ubakaji Ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya kama vile; uvutaji bangi, cocaine, mirungi, kubeli na kadhalika. Kupigana au kupiga. Kuharibu kwa makusudi mali ya Umma. Kudharau Bendera ya Taifa. Kuwa mjamzito/ kupata mimba. Kuoa au kuolewa. Kugoma, kuchochea na kuongoza au kushiriki kuvuruga amani na usalama wa shule au watu. Kukataa adhabu kwa makusudi. Kuwa na simu ya mkononi. Kwenda nje ya mipaka ya shule bila ruhusa. Kutokuwepo shuleni baada ya saa kumi na mbili (12:00 jioni). NAKUTAKIA SAFARI NJEMA KUJA SHULENI NDONO SEKONDARI KARIBU SANA.. MKUU WA SHULE 4

5 FOMU YA MZAZI KUKIRI KUKUBALIANA NA SHERIA, KANUNI NA MAELEKEZO MENGINE YATAKAYOTOLEWA NA SHULE Mimi Mzazi/ Mlezi wa wanafunzi.. Nimesoma na kuzielewa sheria, kanuni na taratibu za shule na nimekubaliana nazo kama mzazi/ mlezi wa mwanafunzi na niko tayari kuzitekeleza sheria hizo pamoja na maelezo mengine yatakayotolewa na shule... Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi 5

6 SHULE YA SEKONDARI NDONO A. FOMU YA MAELEKEZO BINAFSI YA MWANAFUNZI 1. Jina kamili la Mwanafunzi.. 2. Tarehe ya kuzaliwa Mzazi/ Mlezi. 4. Uhusiano na Mlezi. 5. Mahali anapoishi Mzazi/Mlezi, Mkoa.. Wialya ya Mtaa/Kijiji.. 6. Mawasiliano ya Mzazi/Mlezi Kabila..Dini.. 8. Kazi ya Mzazi/Mlezi Wazazi wako hai au wamefariki (weka alama ya ) Baba (amefariki) ( ) Baba yupo hai ( ) Mama (amefariki) ( ) Mama yupo hai ( ) 10. Ndugu wengine wa karibu na Mzazi/Mlezi ambao wanaweza kutumika kama walezi wa mwanafunzi kama mzazi/mlezi husika hayupo. a.... Mahali.. b.... Mahali.. c.... Mahali.. d.... Mahali.. B. MKATABA WA KUTOSHIRIKI KATIKA MGOMO, FUJO NA MAKOSA YA JINAI Mimi (Jina la mwanafunzi). Nimesoma na kuelewa sheria, kanuni na taratibu zote za shule ya bweni, na niko tayari kuzitekeleza kwa muda wote nitakapokuwa shuleni hapa kama mwanafunzi. Nitakapo kiuka kipengele chochote cha shule hivyo adhabu stahili ichukuliwe dhidi yangu kwa mujibu wa sheria na taratibu... Saini ya Mwanafunzi. Mkuu wa Shule 6

7 MINISTRY OF EDUCATION VOCATIONAL TRAINING NDONO SECONDARY SCHOOL, P. O. Box 327, TABORA. Date:.. FORM FOR MEDICAL EXAMINATION This form must be completed by a Government Medical Officer. Student s full name:. Present age. Blood Test Stool Examination T. B. test Asthma:..... Eye Disorder: Nose Disorder:. Ear Disorder:.... Skin Disease:.. Anaemia:.. Chest:..... Operations:. Serious Accidents:.... Any other infections disease: Pregnancy:.. Additional information e.g. Physical defects or impairment, chronic or family diseases etc..... I certify that I have personally examined Mr./Miss.....and found him/her fit unit to purpose studies Signature. Designation. (Official rubber stamp) 7

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT ISSN 0856-035X THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT No. 6 20 th February, 2015 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No.8 Vol.96 dated 20 th February, 2015 Printed by the Government

More information

THE OIL AND GAS REVENUES MANAGEMENT ACT, 2015 ARRANGEMENT OF SECTIONS PART I PRELIMINARY PROVISIONS PART II ADMINISTRATIVE PROVISIONS

THE OIL AND GAS REVENUES MANAGEMENT ACT, 2015 ARRANGEMENT OF SECTIONS PART I PRELIMINARY PROVISIONS PART II ADMINISTRATIVE PROVISIONS ISSN 0856-035X THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT No. 10 29 th May, 2015 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No. 22 Vol. 96 dated 29 th May, 2015 Printed by the Government Printer,

More information

OPERATIONS MANUAL FOR IMPLEMENTATION AND MANAGEMENT OF A COMMUNITY HEALTH FUND in Tanga Region

OPERATIONS MANUAL FOR IMPLEMENTATION AND MANAGEMENT OF A COMMUNITY HEALTH FUND in Tanga Region 1 OPERATIONS MANUAL FOR IMPLEMENTATION AND MANAGEMENT OF A COMMUNITY HEALTH FUND in Tanga Region A MANUAL FOR PRACTITIONERS Second edition January 2006 Contacts The Regional CHF Competence Center (RCCC),

More information

TANZANIA COFFEE BOARD VACANCIES ANNOUNCEMENT

TANZANIA COFFEE BOARD VACANCIES ANNOUNCEMENT TANZANIA COFFEE BOARD VACANCIES ANNOUNCEMENT Tanzania Coffee Board is a government body established by the Tanzania Coffee Industry Act No. 23 of 2001. Its main function is to regulate the coffee industry

More information

Annual Report and Financial Statements

Annual Report and Financial Statements 2013 Annual Report and Financial Statements 2 2013 Annual Report and Financial Statements Our Vision To be a dynamic company committed to exceeding customer expectation and increasing our market share

More information

Linking Adult Education with Formal Schooling in Tanzania: Mission Unfulfilled

Linking Adult Education with Formal Schooling in Tanzania: Mission Unfulfilled Linking Adult Education with Formal Schooling in Tanzania: Mission Unfulfilled Mohamed Salum Msoroka Faculty of Education School of Educational Leadership & Policy The University of Waikato Contact Address:

More information

DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION. A Constituent College of the University of Dar Es Salaam STAFF FUNERAL POLICY

DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION. A Constituent College of the University of Dar Es Salaam STAFF FUNERAL POLICY DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION A Constituent College of the University of Dar Es Salaam STAFF FUNERAL POLICY JANUARY 2015 TABLE OF CONTENTS 1 BACKGROUND... 1 2 THE ROLE OF THE EMPLOYER...

More information

Contents Page. 3. Financial Highlights 4-8. Chairman s Statement 9-12. CEO s Statement

Contents Page. 3. Financial Highlights 4-8. Chairman s Statement 9-12. CEO s Statement Contents Page 01 HIGHLIGHTS 3. Financial Highlights 4-8. Chairman s Statement 9-12. CEO s Statement 02 BUSINESS REVIEW 14. The Value We Have Created 15-16. What We Do 17. How We Are Managed 20-21. Who

More information

Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari, 2015

Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari, 2015 HABARI Habari ZA za NISHATI nishati &MADINI &madini Bulletin Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari, 2015 Toleo No. 78 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM

More information

815 SWA. Health undertaking Kuwajibika Kiafya. Tafadhali weka kurasa hii ya maelezo kama kumbukumbu yako

815 SWA. Health undertaking Kuwajibika Kiafya. Tafadhali weka kurasa hii ya maelezo kama kumbukumbu yako Health undertaking Kuwajibika Kiafya Form 815 SWA SWAHILI Muhimu Tafadhali soma maelezo haya kwa uangalifu kabla ya kukamilisha wajibu wako. Mara tu unapokamilisha wajibu wako tunashauri kwa nguvu kuwa

More information

Yaliyomo. II. Dodoso la Kilimo... 62

Yaliyomo. II. Dodoso la Kilimo... 62 OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU Mwongozo wa Mdadisi Utafiti wa Kufuatilia Kaya Tanzania (NPS 2010-11) 2010-2011 0 [JAMHURI YA MUUNGA N O W A TANZA N I A] Yaliyomo Comment [SP1]: Be sure to update the table of

More information

Centum Investment Company Limited Annual Report & Financial Statements fy 13/14

Centum Investment Company Limited Annual Report & Financial Statements fy 13/14 Centum Investment Company Limited Annual Report & Financial Statements fy 13/14 Africa s Foremost Investment Channel At Centum, we focus on sustainable wealth creation, leveraging on teamwork and the expertise

More information

TUNGO ZA KUJIBIZANA: "KUAMBIZANA NI SIFA YA KUPENDANA"t

TUNGO ZA KUJIBIZANA: KUAMBIZANA NI SIFA YA KUPENDANAt AAP 47 (1996) 1-10 TUNGO ZA KUJIBIZANA: "KUAMBIZANA NI SIFA YA KUPENDANA"t RIDDER SAMSOM Different labels have been used for marking the reciprocity in Swahili dialogue poetry, varying between the more

More information

Contents. CORE VALUES Integrity Professionalism Team Spirit Safety Culture. Company Information 2 Message from the Chairman 4

Contents. CORE VALUES Integrity Professionalism Team Spirit Safety Culture. Company Information 2 Message from the Chairman 4 A N N U A L R E P O RT & F I N A N C I A L S TAT E M E N T S Financial year ended 30 June 2010 Contents Company Information 2 Message from the Chairman 4 VISION To be the market leader in the provision

More information

THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT,2006

THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT,2006 THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT,2006 ARRANGEMENT OF SECTIONS Section Title PART I PRELIMINARY PROVISIONS 1. Short title and Commencement 2. Application. 3. Interpretation. PART II THE FINANCIAL INTELLIGENCE

More information

Lesson 14a: Numbers and Counting

Lesson 14a: Numbers and Counting Lesson 14a: Numbers and Counting Numbers and Counting [nambari na hesabu] A). Numbers B). The order in which the numbers are stated C). How numbers and noun class [ngeli] go together D). Questions with

More information

Annual Report Report and and Financial Statements

Annual Report Report and and Financial Statements Annual Report Report and and Financial Statements For For the the Year Year ended ended 31 31 March March 2014 2014 Dreams into into reality KQ Annual Report & Financial Statements 2014 1 Performance Highlights

More information

Mheshimiwa Mwenyekiti na Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,

Mheshimiwa Mwenyekiti na Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, MHE. JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA, AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA, MACHI 2014 UTANGULIZI

More information

LEARNING HOW TO TEACH

LEARNING HOW TO TEACH Education International Internationale de l Education Internacional de la Educación Bildungsinternationale LEARNING HOW TO TEACH The upgrading of unqualified primary teachers in sub-saharan Africa Lessons

More information

Uundaji wa Istilahi za Kiswahili Kileksikografia na Athari zake S.S. SEWANGI University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Uundaji wa Istilahi za Kiswahili Kileksikografia na Athari zake S.S. SEWANGI University of Dar-es-Salaam, Tanzania Nordic Journal of African Studies 16(3): 333 344 (2007) Uundaji wa Istilahi za Kiswahili Kileksikografia na Athari zake S.S. SEWANGI University of Dar-es-Salaam, Tanzania ABSTRACT The promotion of terminology

More information

Lesson 56: Business: [biashara: ununuzi, upigaji bei na uuzaji] Business: Shopping, Buying and Selling. A). Business Vocabulary.

Lesson 56: Business: [biashara: ununuzi, upigaji bei na uuzaji] Business: Shopping, Buying and Selling. A). Business Vocabulary. Lesson 56: Business: Shopping, Buying and Selling Business: Shopping, Buying and Selling [biashara: ununuzi, upigaji bei na uuzaji] A). Business Vocabulary akaunti akiba bei ghali rahisi bei ghali bei

More information

CUF. Rais makini, Serikali makini Uchumi Imara, Mabadiliko Sahihi

CUF. Rais makini, Serikali makini Uchumi Imara, Mabadiliko Sahihi CUF Rais makini, Serikali makini Uchumi Imara, Mabadiliko Sahihi The Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) Yaliyomo 1. Utangulizi wa Prof Ibrahim Lipumba... 7 2. Misingi mikuu ya uongozi wa nchi...

More information

MARX'S SHORTS AND ANCESTORS' CAVES: TRACING CRITICAL MOTIFS IN KEZILAHABI'S PLAY AND POEMS*

MARX'S SHORTS AND ANCESTORS' CAVES: TRACING CRITICAL MOTIFS IN KEZILAHABI'S PLAY AND POEMS* AAP 47 (1996). 139-148 MARX'S SHORTS AND ANCESTORS' CAVES: TRACING CRITICAL MOTIFS IN KEZILAHABI'S PLAY AND POEMS* ELENA BER TONCINI-ZUBKOV A La seule piece theiitrale de Kezilahabi, "Les shorts de Marx",

More information

Creation of a Speech to Text System for Kiswahili

Creation of a Speech to Text System for Kiswahili Creation of a Speech to Text System for Kiswahili Dr. Katherine Getao and Evans Miriti University of Nairobi Abstract The creation of a speech to text system for any language is an onerous task. This is

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION CKRC VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, SABOTI CONSTITUENCY, HELD AT KITALE TOWN MUSEUM HALL

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION CKRC VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, SABOTI CONSTITUENCY, HELD AT KITALE TOWN MUSEUM HALL CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION CKRC VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, SABOTI CONSTITUENCY, HELD AT KITALE TOWN MUSEUM HALL ON 2 1 ST JULY 2002 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS SABOTI

More information

Tunza Jamii Yako, Tunza Mazingira Yako kwa Maisha Bora. Jihusishe. Jipangie. Amua

Tunza Jamii Yako, Tunza Mazingira Yako kwa Maisha Bora. Jihusishe. Jipangie. Amua Tunza Jamii Yako, Tunza Mazingira Yako kwa Maisha Bora. Jihusishe. Jipangie. Amua Orodha ya kukagua matayarisho: Soma hadithi yote mapema pamoja na maelezo ya hadithi na maswali ya kukukumbusha. Tayarisha

More information

HALI YA UCHUMI NA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA

HALI YA UCHUMI NA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HALI YA UCHUMI NA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA Kimetayarishwa kwa Ushirikiano Kati ya: TUME YA MIPANGO DAR ES SALAAM na OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA YALIYOMO Ukurasa

More information

KUKITANDAWAZISHA KISWAHILI KUPITIA SIMU ZA KIGANJANI: TAFAKARI KUHUSU ISIMUJAMII

KUKITANDAWAZISHA KISWAHILI KUPITIA SIMU ZA KIGANJANI: TAFAKARI KUHUSU ISIMUJAMII SWAHILI FORUM 18 (2011): 198-210 KUKITANDAWAZISHA KISWAHILI KUPITIA SIMU ZA KIGANJANI: TAFAKARI KUHUSU ISIMUJAMII ALDIN MUTEMBEI Utangulizi Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani

More information

Tuko Pamoja. Adolescent Reproductive Health and Life Skills Curriculum

Tuko Pamoja. Adolescent Reproductive Health and Life Skills Curriculum Tuko Pamoja Adolescent Reproductive Health and Life Skills Curriculum Tuko Pamoja Adolescent Reproductive Health and Life Skills Curriculum Acknowledgements This second edition of the Kenya Adolescent

More information

MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO NEW LIFE IN CHRIST SERIES 1 MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO FISHERS OF MEN MINISTRIES CHURCH NAME 2 Fishers of Men Ministries uses a Christ centered approach to transform one life at a time by feeding their

More information

TANZANIA AND HIV/AIDS TANZANIA NA UKIMWI

TANZANIA AND HIV/AIDS TANZANIA NA UKIMWI TANZANIA AND HIV/AIDS TANZANIA NA UKIMWI This booklet, which summarizes key findings on HIV/AIDS, is based on surveys and other studies conducted over the past decade in Tanzania. Major data sources include

More information

Schneps, Leila; Colmez, Coralie. Math on Trial : How Numbers Get Used and Abused in the Courtroom. New York, NY, USA: Basic Books, 2013. p i.

Schneps, Leila; Colmez, Coralie. Math on Trial : How Numbers Get Used and Abused in the Courtroom. New York, NY, USA: Basic Books, 2013. p i. New York, NY, USA: Basic Books, 2013. p i. http://site.ebrary.com/lib/mcgill/doc?id=10665296&ppg=2 New York, NY, USA: Basic Books, 2013. p ii. http://site.ebrary.com/lib/mcgill/doc?id=10665296&ppg=3 New

More information

TAARIFA YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UKIMWI MKOA WA KIGOMA

TAARIFA YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UKIMWI MKOA WA KIGOMA TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA (TACAIDS) TAARIFA YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UKIMWI MKOA WA KIGOMA OKTOBA, 2007 ISBN 978-9987-519-18-7 i ii Yaliyomo Ufafanuzi wa Majedwali Vifupisho Shukrani Muhtasari

More information

MWONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI WORLD BANK

MWONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI WORLD BANK Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori MWONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI WORLD BANK Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori MWONGOZO WA USHIRIKISHWAJI

More information

ROMAN CATHOLIC FAITH REPRESENTED IN KEZILAHABI'S MZINGILE SONJA MEZGER AAP 72 (2002) SWAHILI FORUM IX 75-85

ROMAN CATHOLIC FAITH REPRESENTED IN KEZILAHABI'S MZINGILE SONJA MEZGER AAP 72 (2002) SWAHILI FORUM IX 75-85 AAP 72 (2002) SWAHILI FORUM IX 75-85 ROMAN CATHOLIC FAITH REPRESENTED IN KEZILAHABI'S MZINGILE SONJA MEZGER Summary This study elaborates how Kezilahabi depicts elements of Roman Catholic faith in his

More information

ANNUAL REPORT 2015 THE TASKS OF TBL INTRODUCING

ANNUAL REPORT 2015 THE TASKS OF TBL INTRODUCING THE HOME OF FINE BEERS ANNUAL REPORT 2015 INTRODUCING THE TASKS OF TBL PROUDLY TANZANIAN SINCE 1933 A subsidiary of SABMiller plc To Be a Good Corporate Citizen To Invest in Our Country To Invest in Our

More information

EXISTENTIALISM AND FEMINISM IN KEZILAHABI S NOVEL KICHWAMAJI

EXISTENTIALISM AND FEMINISM IN KEZILAHABI S NOVEL KICHWAMAJI SWAHILI FORUM 15 (2008): 51-61 EXISTENTIALISM AND FEMINISM IN KEZILAHABI S NOVEL KICHWAMAJI TIINA SAKKOS Makala hii inachambua riwaya ya pili ya mwandishi maarufu wa Kiswahili, Euphrase Kezilahabi (*1944)

More information

DR. HAMISI O. BABUSA (PHD)

DR. HAMISI O. BABUSA (PHD) DR. HAMISI O. BABUSA (PHD) School of Education Department of Educational Communication and Technology Kenyatta University P.O. Box 43844 Nairobi 00100 Kenya Mobile: +254 700 754 080 Email: hobabusa@gmail.com

More information

CURRICULUM INNOVATION IN TEACHER EDUCATION

CURRICULUM INNOVATION IN TEACHER EDUCATION CURRICULUM INNOVATION IN TEACHER EDUCATION Curriculum Innovation in Teacher Education Exploring Conceptions among Tanzanian Teacher Educators Wilberforce E. Meena ÅBO 2009 ÅBO AKADEMIS FÖRLAG ÅBO AKADEMI

More information

Kitabu hiki kimefanikishwa kwa msaada wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates

Kitabu hiki kimefanikishwa kwa msaada wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates Kitabu hiki kimefanikishwa kwa msaada wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates Programu ya Teknolojia Inayofaa kwenye Afya (PATH) inatoa masuluhisho endelevu, yanayofaa kiutamaduni na ambayo inawezesha jamii

More information

Ndugu na dada zangu. Mbio za Maisha

Ndugu na dada zangu. Mbio za Maisha UJUMBE WA URAIS WA KWANZA, MEI 2012 Na Rais Thomas S. Monson Mbio za Maisha Sisi tulitoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Tutaenda wapi baada ya maisha haya? Haya maswali ya kawaida hayafai kubaki bila kujibiwa.

More information

MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING

MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION CURRICULUM FOR CERTIFICATE IN TEACHER EDUCATION PROGRAMMES IN TANZANIA MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING TANZANIA

More information

CONTENTS. Financial Section. Sehemu ya Kiswahili. Statutory Information

CONTENTS. Financial Section. Sehemu ya Kiswahili. Statutory Information CONTENTS Financial Highlights 3 Chairman s Statement 4-5 Production 6-8 Brands 10-12 Human Resource 13 Enriching Communities 14-15 Sehemu ya Kiswahili Taarifa ya Mwenyekiti 16-17 Utaoji 18-20 Aina za Bidhaa

More information

Integrated Logistics System (ILS) Procedures Manual

Integrated Logistics System (ILS) Procedures Manual THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF HEALTH AND SOCIAL WELFARE (ILS) Procedures Manual Roll-Out Version September 2008 ACRONYMS Term English Swahili ARV Anti-Retroviral (drug) Dawa ya kupunguza

More information

Ambassador s Community Grants Fund for HIV/AIDS Relief

Ambassador s Community Grants Fund for HIV/AIDS Relief Ambassador s Community Grants Fund for HIV/AIDS Relief Each year, the United States Ambassador s Community Grants Fund in Tanzania will award HIV/AIDS-focused grants, ranging from $5,000 to $30,000, to

More information

A SHABA SWAHILI LIFE HISTORY: TEXT AND TRANSLATION

A SHABA SWAHILI LIFE HISTORY: TEXT AND TRANSLATION AAP 42 (1995). 73-103 A SHABA SWAHILI LIFE HISTORY: TEXT AND TRANSLATION JAN BLOMMAERT Intruduction This paper presents an edited version of a handwritten text in Shaba Swahili and French, accompanied

More information

KANISA LINAHITAJI KUJUA

KANISA LINAHITAJI KUJUA Miki Hardy KANISA LINAHITAJI KUJUA Umefika wakati tuyazungumzie mambo kadhaa ya msingi waziwazi ili Wakristo watambue ya kwamba Bwana ana mambo mazuri zaidi kwa ajili yao! Hakimiliki 2013 na Church Team

More information

Je! Mungu Habadilisha Nia Yake Kuhusu Neno Lake?

Je! Mungu Habadilisha Nia Yake Kuhusu Neno Lake? JE! MUNGU HABADILISHA NIA YAKE KUHUSU NENO LAKE? 1 Je! Mungu Habadilisha Nia Yake Kuhusu Neno Lake? ` Na tuinamishe vichwa vyetu. Bwana Yesu mpenzi, tumekusanyika tena katika Jina Lako, tukiwa na matumaini

More information

Promoting Regional Trade to Enhance Food Security

Promoting Regional Trade to Enhance Food Security SLE Publication Series S239 Centre for Advanced Training in Rural Development (SLE) International Institute of Tropical Agriculture (IITA) on behalf of Deutsche Gesellschaft für Technische Zusammenarbeit

More information

Ni Wakati Wa Kuamka! Ellis P. Forsman. Ni Wakati Wa Kuamka (It's Time To Wake Up) 1

Ni Wakati Wa Kuamka! Ellis P. Forsman. Ni Wakati Wa Kuamka (It's Time To Wake Up) 1 Ni Wakati Wa Kuamka! na Ellis P. Forsman Ni Wakati Wa Kuamka (It's Time To Wake Up) 1 Ni Wakati Wa Kuamka! na Ellis P. Forsman Oktoba 12, 2011 Ni Wakati Wa Kuamka (It's Time To Wake Up) 2 Ni Wakati Wa

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, NAMBALE CONSTITUENCY, HELD AT MATAYOS LWANYA GIRLS SEC. SCHOOL ON 29 TH JULY 2002 2 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS,

More information

Lesson 24: Adjectives

Lesson 24: Adjectives Lesson 24: Adjectives Adjectives [vivumishi vya sifa] Adjectives are formed by attaching the noun class marker to an adjectival stem. Adjectives have various properties: Word origin (e.g. Bantu, Arabic)

More information

The Usage of Kiswahili in Blog Discourse and the Effect on Its Development

The Usage of Kiswahili in Blog Discourse and the Effect on Its Development International Journal of Humanities and Social Science Vol. 3 No. 14 [Special Issue - July 2013] The Usage of Kiswahili in Blog Discourse and the Effect on Its Development Juliet Akinyi Jagero Jaramogi

More information

Celebration of the French «Bastille Day» Remarks by Ambassador Elisabeth Barbier 14th July 2010

Celebration of the French «Bastille Day» Remarks by Ambassador Elisabeth Barbier 14th July 2010 Celebration of the French «Bastille Day» Remarks by Ambassador Elisabeth Barbier 14th July 2010 Honorable Ministers, Dear colleagues, compatriots and friends, Mabibi na Mabwana, First of all, let me, together

More information

FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING

FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING 1. APPLICATION FOR ADMISSION TO THE UNIVERSITY (Form DV1A) 1. Complete the form and attach all the necessary documents as requested on the form. Remember to

More information

Language Choice in Swahili Newspaper Advertising in Tanzania

Language Choice in Swahili Newspaper Advertising in Tanzania US-China Foreign Language, ISSN 1539-8080 June 2013, Vol. 11, No. 6, 447-460 D DAVID PUBLISHING Language Choice in Swahili Newspaper Advertising in Tanzania Josephine Dzahene-Quarshie University of Ghana,

More information

TRAINING ON ENTREPRENEURSHIP AND BUSINESS MANAGEMENT SKILLS FOR SELECTED VILLAGERS IN RUFIJI

TRAINING ON ENTREPRENEURSHIP AND BUSINESS MANAGEMENT SKILLS FOR SELECTED VILLAGERS IN RUFIJI TANZANIA COUNTRY OFFICE TRAINING ON ENTREPRENEURSHIP AND BUSINESS MANAGEMENT SKILLS FOR SELECTED VILLAGERS IN RUFIJI August 2009 University of Dar es Salaam Entrepreneurship Centre (UDEC) P. O. Box 110099,

More information

TEGENI MASIKIO: COMPOSING EAST AFRICAN REALITIES THROUGH YOUNG EYES

TEGENI MASIKIO: COMPOSING EAST AFRICAN REALITIES THROUGH YOUNG EYES SWAHILI FORUM 19 (2012): 45-59 TEGENI MASIKIO: COMPOSING EAST AFRICAN REALITIES THROUGH YOUNG EYES AARON LOUIS ROSENBERG At times creative writing has been employed by Tanzanians in order to demonstrate

More information

ORODHA YA TAASISI/MAKAMPUNI

ORODHA YA TAASISI/MAKAMPUNI ORODHA YA TAASISI/MAKAMPUNI S/N0. JINA /TAASISI/KAMPUNI SIMU 1. Director General +255 22 2123583-4 TASAF 2. Director General, +255 22 2126516 WAMA 3. The Chairman, +255 22 2122651 TACAIDS 4. Executive

More information

Sda Church Nyimbo Za Kristo

Sda Church Nyimbo Za Kristo Sda Nyimbo Za Kristo Free PDF ebook Download: Sda Nyimbo Za Kristo Download or Read Online ebook sda church nyimbo za kristo in PDF Format From The Best User Guide Database Apr 27, 2011 - Saturday. EAT

More information

KISWAHILI Pam Inoti - pamby22@gmail.com

KISWAHILI Pam Inoti - pamby22@gmail.com KISWAHILI Pam Inoti - pamby22@gmail.com Kiswahili is a national and official language in Kenya, Tanzania and Uganda. It is also spoken in Rwanda, Burundi, Congo (DRC), Somalia, Comoros Islands (including

More information

ARMS CONTROL Volume 3 Issue 1 May 2011

ARMS CONTROL Volume 3 Issue 1 May 2011 ARMS CONTROL Volume 3 Issue 1 May 2011 Editorial Welcome to the first Issue of the third volume of Arms Control: Africa, which is published by the Arms Management Programme (AMP) of the Institute for Security

More information

CURRICULUM VITAE. 1. SUMMARY OF EXPERIENCE Special Needs Education Lecturer Psycho-educational Assessment Professional

CURRICULUM VITAE. 1. SUMMARY OF EXPERIENCE Special Needs Education Lecturer Psycho-educational Assessment Professional CURRICULUM VITAE NAME CURRENT POSITION UNIVERSITY ACADEMIC POSITION INSTITUTION PHYSICAL ADDRESS WANYERA SAMUEL Coordinator Special Needs Education Research Laboratory Project Lecturer Special Needs Education

More information

MORE SWAHILI PROVERBS FROM EAST AFRICA METHALI ZAIDI ZA KISWAHILI TOKA AFRIKA MASHARIKI. L. Kalugila. A. Y. Lodhi

MORE SWAHILI PROVERBS FROM EAST AFRICA METHALI ZAIDI ZA KISWAHILI TOKA AFRIKA MASHARIKI. L. Kalugila. A. Y. Lodhi MORE SWAHILI PROVERBS FROM EAST AFRICA METHALI ZAIDI ZA KISWAHILI TOKA AFRIKA MASHARIKI L. Kalugila A. Y. Lodhi Scandinavian Institute of African Studies, Uppsala 1980 MORE SWAHILI PROVERBS FROM EAST AFRICA

More information

Girls Getting to Secondary School Safely: Combating Gender-based Violence in the Transportation Sector in Tanzania

Girls Getting to Secondary School Safely: Combating Gender-based Violence in the Transportation Sector in Tanzania Girls Getting to Secondary School Safely: Combating Gender-based Violence in the Transportation Sector in Tanzania Laura Mack Center for Gender Equity 2009 In July 2011, FHI 360 acquired the programs,

More information

Family Name (surname) : Date of birth : Day Month Year First Name : Nationality ( citizenship ) : Telephone : Mobile Phone Number: Address :

Family Name (surname) : Date of birth : Day Month Year First Name : Nationality ( citizenship ) : Telephone : Mobile Phone Number: Address : Please affix passport photograph APPLICATION FORM SHORT TERM COURSE IN MALAYSIA UNDER THE MALAYSIAN TECHNICAL COOPERATION PROGRAMME ( MTCP ) Please type or write clearly in capital letters. Do not leave

More information

LUGHA YA MITAANI IN TANZANIA THE POETICS AND SOCIOLOGY OF A YOUNG URBAN STYLE OF SPEAKING

LUGHA YA MITAANI IN TANZANIA THE POETICS AND SOCIOLOGY OF A YOUNG URBAN STYLE OF SPEAKING SWAHILI FORUM 13 Edited by: Rose Marie Beck, Lutz Diegner, Clarissa Dittemer, Thomas Geider, Uta Reuster-Jahn SPECIAL ISSUE LUGHA YA MITAANI IN TANZANIA THE POETICS AND SOCIOLOGY OF A YOUNG URBAN STYLE

More information

Teach Yourself Swahili

Teach Yourself Swahili Teach Yourself Swahili Hassan O. Ali & Ali M. Mazrui August 3, 2004 Contents ABOUT THIS COURSE... 1 ABOUT SWAHILI... 1 LESSON 1: ALPHABET... 3 LESSON 2: PRONUNCIATION GUIDE... 3 VOWELS... 3 SYLLABLES...

More information

MINISTRY OF HIGHER EDUCATION SRI LANKA

MINISTRY OF HIGHER EDUCATION SRI LANKA Please attach a Passport Size Photo MINISTRY OF HIGHER EDUCATION SRI LANKA GOVERNMENT OF SRI LANKA PRESIDENTIAL SCHOLARSHIPS FOR FOREIGN STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2014/15 APPLICATION FORM Postgraduate

More information

Performance Objective Identification Worksheet

Performance Objective Identification Worksheet Performance Objective Identification Worksheet INSTRUCTIONS For each of the performance objective identified, you must indicate by page and paragraph number the equivalent performance objective in your

More information

The Mosaic Project Theme Song 2001 The Mosaic Project Music by Brett Dennen, Lyrics by Brett Dennen and Lara Mendel

The Mosaic Project Theme Song 2001 The Mosaic Project Music by Brett Dennen, Lyrics by Brett Dennen and Lara Mendel The Mosaic Project Theme Song 2001 The Mosaic Project M is for MUTUAL RESPECT Don't put me down and don't hurt me. O is for OPEN MINDEDNESS See me for who I am and don't judge me. S is for SELF RESPECT

More information

TEKNOLOJIA ZA UTAYARISHAJI, USINDIKAJI NA HIFADHI YA MAZAO YA MBEGU ZA MAFUTA BAADA YA KUVUNA. Kitabu Namba 5

TEKNOLOJIA ZA UTAYARISHAJI, USINDIKAJI NA HIFADHI YA MAZAO YA MBEGU ZA MAFUTA BAADA YA KUVUNA. Kitabu Namba 5 1 TEKNOLOJIA ZA UTAYARISHAJI, USINDIKAJI NA HIFADHI YA MAZAO YA MBEGU ZA MAFUTA BAADA YA KUVUNA Kitabu Namba 5 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania W izara ya Kilimo na Chakula 1 2 Mfululizo wa vitabu hivi:

More information

Request for Designated Doctor Examination Type (or print in black ink) each item on this form

Request for Designated Doctor Examination Type (or print in black ink) each item on this form Texas Department of Insurance Division of Workers Compensation 7551 Metro Center Drive, Suite 100 MS-603 Austin, TX 78744-1645 (512) 804-4380 phone (512) 804-4121 fax Complete, if known: DWC Claim # Carrier

More information

Vidunda (G38) as an Endangered Language?

Vidunda (G38) as an Endangered Language? Vidunda (G38) as an Endangered Language? Karsten Legère University of Gothenburg 1. The position of Swahili and other Tanzanian languages Tanzania is a multi-ethnic and, as a consequence, multi-lingual

More information

The mother, her confidants and the prevention of mother-to-child transmission of HIV (PMTCT) services in the Kilimanjaro region, Tanzania

The mother, her confidants and the prevention of mother-to-child transmission of HIV (PMTCT) services in the Kilimanjaro region, Tanzania The mother, her confidants and the prevention of mother-to-child transmission of HIV (PMTCT) services in the Kilimanjaro region, Tanzania Eli Fjeld Falnes Dissertation for the degree philosophiae doctor

More information

GEORGIA UNIFORM HEALTHCARE PRACTITIONER CREDENTIALING APPLICATION FORM ***************PART TWO***************

GEORGIA UNIFORM HEALTHCARE PRACTITIONER CREDENTIALING APPLICATION FORM ***************PART TWO*************** GEORGIA UNIFORM HEALTHCARE PRACTITIONER CREDENTIALING APPLICATION FORM ***************PART TWO*************** GEORGIA ASSOCIATION OF HEALTH PLANS I. Personal Identification Last Name (include suffix; Jr.,

More information

MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY

MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY Telephone: 2503016/7 or 2502861. Fax: +2552522502302 E-mail: vc@mist.ac.tz mist@mist.ac.tz Website: www.mist.ac.tz P.O. Box 131, Mbeya, Tanzania. In reply please

More information

LEHMAN COLLEGE DEPARTMENT OF NURSING ANNUAL HEALTH CLEARANCE REQUIREMENTS

LEHMAN COLLEGE DEPARTMENT OF NURSING ANNUAL HEALTH CLEARANCE REQUIREMENTS ANNUAL HEALTH CLEARANCE REQUIREMENTS Each student in the Department of Nursing must have current health clearance prior to each clinical nursing course (NUR 301, 303, 304, 400, 405, 409). Health clearance

More information

Higher Education Loan Authority of the State of Missouri. Student Loan Asset-Backed Notes, Series 2012-1

Higher Education Loan Authority of the State of Missouri. Student Loan Asset-Backed Notes, Series 2012-1 Higher Education Loan Authority of the State of Missouri Student Loan AssetBacked Notes, Series 20121 Fluctuations were noted in the Student Loan AssetBacked Notes, Series 20121 (20121 Bond) parity rates

More information

MEDWAY SCHOOL BOARD POLICY DRUG AND ALCOHOL TESTING OF SCHOOL BUS DRIVERS

MEDWAY SCHOOL BOARD POLICY DRUG AND ALCOHOL TESTING OF SCHOOL BUS DRIVERS MEDWAY SCHOOL BOARD POLICY DRUG AND ALCOHOL TESTING OF SCHOOL BUS DRIVERS NEPN/NSBA CODE: EEAEAA The safety of our students, employees and the general public requires that our drivers perform their duties

More information

1. TASAF operations steadily approaching set targets

1. TASAF operations steadily approaching set targets 1. TASAF operations steadily approaching set targets The implementation support mission by the World Bank team to TASAF which took place from March 23 rd to April 04 th concluded that TASAF II implementation

More information

FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING

FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING FACULTY OF HEALTH SCIENCES SCHOOL OF NURSING 1. APPLICATION FOR ADMISSION TO THE UNIVERSITY (Form DV1A) 1. Complete the form and attach all the necessary documents as requested on the form. Remember to

More information

OFFICE OF PROGRAMS AND SERVICES: CLINICAL SERVICES MEDICAL EVALUATIONS MANUAL. Chapter 1 MEDICAL INTAKE. Section 1B Medical Intake Process: Part II

OFFICE OF PROGRAMS AND SERVICES: CLINICAL SERVICES MEDICAL EVALUATIONS MANUAL. Chapter 1 MEDICAL INTAKE. Section 1B Medical Intake Process: Part II OFFICE OF PROGRAMS AND SERVICES: CLINICAL SERVICES MEDICAL EVALUATIONS MANUAL Chapter 1 MEDICAL INTAKE Section 1B Medical Intake Process: Part II I. Policy: All inmates newly admitted to DPSCS facilities

More information

P.O. Box 4374 DAR ES SALAAM TEL:+255 22 2775915/6 FAX: +255 22 2775915 E-mail:itv@ipp.co.tz www.ippmedia.com

P.O. Box 4374 DAR ES SALAAM TEL:+255 22 2775915/6 FAX: +255 22 2775915 E-mail:itv@ipp.co.tz www.ippmedia.com S/N NAME OF LICENSEE ADDRESS 1. Radio One P.O. Box 4374 TEL:+255 22 2775915/6 FAX: +255 22 2775915 itv@ipp.co.tz www.ippmedia.com AUTHORIZED SERVICE AREA AND LOCATION OF BASE STATION ( Dar es AUTHORIZED

More information

Our Ref: WDMI/C.200/5/ 74 Date: 12th October 2015 INVITATION OF APPLICATIONS FOR ADMISSION TO A BACHELOR S DEGREE PROGRAM FY 2015/ 2016

Our Ref: WDMI/C.200/5/ 74 Date: 12th October 2015 INVITATION OF APPLICATIONS FOR ADMISSION TO A BACHELOR S DEGREE PROGRAM FY 2015/ 2016 MINISTRY OF WATER WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMENT INSTITUTE P. O. Box 35059 DAR ES SALAAM TANZANIA TEL: 2410040 FAX: 241 0404 Website: www.wdmi.ac.tz Email: principal@wdmi.ac.tz Our Ref: WDMI/C.200/5/

More information

MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY

MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY Telephone: 2503016/7 or 2502861. Fax: +2552522502302 E-mail: vc@mist.ac.tz mist@mist.ac.tz Website: www.mist.ac.tz P.O. Box 131, Mbeya, Tanzania. In reply please

More information

Original Date: 02/01/996 Last Revision Date: 04/21/2014 Approved by: Clinical Quality Improvement Work Group (CQIW) Effective Date: 04/21/2014

Original Date: 02/01/996 Last Revision Date: 04/21/2014 Approved by: Clinical Quality Improvement Work Group (CQIW) Effective Date: 04/21/2014 Purpose: To delineate the training, supervision and scope of practice for Medical Assistants. Policy: The Central California Alliance for Health (the Alliance) requires that all Medical Assistants of Alliance

More information

Wireless Remote Monitoring System for ASTHMA Attack Detection and Classification

Wireless Remote Monitoring System for ASTHMA Attack Detection and Classification Department of Telecommunication Engineering Hijjawi Faculty for Engineering Technology Yarmouk University Wireless Remote Monitoring System for ASTHMA Attack Detection and Classification Prepared by Orobh

More information

CHESHIRE EAST COUNCIL DRIVER MEDICAL

CHESHIRE EAST COUNCIL DRIVER MEDICAL BLOCK LETTERS PLEASE: CHESHIRE EAST COUNCIL DRIVER MEDICAL FULL NAME OF APPLICANT:.. DATE OF BIRTH.... ADDRESS:............. POST CODE... This certificate, which must be completed by a Registered Medical

More information

Life Insurance Application Form

Life Insurance Application Form Life Insurance Application Form INSTRUCTION To be completed by all applicants PERSONAL DETAILS Surname First name Middle name Sex Female Male Marital status (please tick) Single Married Other Current residential

More information

The United Republic of Tanzania

The United Republic of Tanzania The United Republic of Tanzania Health Services Inspectorate Unit Ministry of Health and Social Welfare Implementation Guideline for 5S-CQI-TQM Approaches in Tanzania Foundation of all Quality Improvement

More information

TANZANIA PARALEGAL BASELINE SURVEY

TANZANIA PARALEGAL BASELINE SURVEY TANZANIA PARALEGAL BASELINE SURVEY AUGUST 2010 1.0 INTRODUCTION This is a report on a Paralegal baseline survey conducted in all regions of Tanzania mainland. The baseline survey was commissioned to Tanganyika

More information

INSURANCE REGULATORY AND DEVELOPMENT AUTHORITY EXPOSURE DRAFT DRAFT REGULATIONS FOR STANDARD PROPOSAL FORM FOR LIFE INSURANCE

INSURANCE REGULATORY AND DEVELOPMENT AUTHORITY EXPOSURE DRAFT DRAFT REGULATIONS FOR STANDARD PROPOSAL FORM FOR LIFE INSURANCE INSURANCE REGULATORY AND DEVELOPMENT AUTHORITY EXPOSURE DRAFT DRAFT REGULATIONS FOR STANDARD PROPOSAL FORM FOR LIFE INSURANCE I. Purpose The purpose of these regulations is to provide for a standard proposal

More information

Emergency Medical Technician

Emergency Medical Technician Emergency Medical Technician Admission Requirements EMERGENCY MEDICAL TECHNICAL IMPORTANT: PLEASE READ CAREFULLY Classes are held on Tuesday and Thursday nights from 5:00 p.m. until 9:00 p.m. All classes

More information

Medical Surgical Nursing (Elsevier)

Medical Surgical Nursing (Elsevier) 1 of 6 I. The Musculoskeletal System Medical Surgical Nursing (Elsevier) 1. Med/Surg: Musculoskeletal System: The Comprehensive Health History 2. Med/Surg: Musculoskeletal System: A Nursing Approach to

More information

DEPARTMENT OF POSTS PROPOSAL FORM FOR POSTAL LIFE INSURANCE (Children Policy)

DEPARTMENT OF POSTS PROPOSAL FORM FOR POSTAL LIFE INSURANCE (Children Policy) DEPARTMENT OF POSTS PROPOSAL FORM FOR POSTAL LIFE INSURANCE (Children Policy) Name of the Development Officer/FOs/Agent/ Postal employees (ASP/ IPO/ PM/ PA/ SA/ Postman/ Mail guard/ GR D/ GDS-BPM/ GDS-DA/

More information

Swahili. Information provided by: National African Language Resource Center (NALRC)

Swahili. Information provided by: National African Language Resource Center (NALRC) Swahili Information provided by: National African Language Resource Center (NALRC) A). Why study Swahili? Swahili (or Kiswahili as it is called when one is speaking the language) is the most important

More information